Search results

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Matokeo ya Apprenticeship 2025

    Matokeo ya Apprenticeship 2025 Matokeo ya VETA

    Haya hapa matokeo ya Apprenticeship 2025 yaliyo tolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Mitihani hiyo ilihusisha jumla ya watahiniwa 40,973 waliofanya mitihani katika programu zifuatazo: Programu ya Kupima Umahiri (CBA), Programu maalum ya Uanagenzi Pacha (DATS), Programu ya...
  2. Matokeo ya NABE 2025

    Matokeo ya NABE 2025 Matokeo ya VETA

    Haya hapa matokeo ya NABE 2025 yaliyo tolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Mitihani hiyo ilihusisha jumla ya watahiniwa 40,973 waliofanya mitihani katika programu zifuatazo: Programu ya Kupima Umahiri (CBA), Programu maalum ya Uanagenzi Pacha (DATS), Programu ya Mafunzo...
  3. Matokeo ya CBA 2025

    Matokeo ya CBA 2025 Matokeo ya VETA

    Haya hapa matokeo ya CBA 2025 yaliyo tolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Mitihani hiyo ilihusisha jumla ya watahiniwa 40,973 waliofanya mitihani katika programu zifuatazo: Programu ya Kupima Umahiri (CBA), Programu maalum ya Uanagenzi Pacha (DATS), Programu ya Mafunzo ya...
  4. MATOKEO YA MITIHANI YA UFUNDI STADI VETA MSIMU WA DESEMBA 2025

    MATOKEO YA MITIHANI YA UFUNDI STADI VETA MSIMU WA DESEMBA 2025 CBA,DATS,NABE,IMTT

    Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) iliendesha Mitihani ya Taifa ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Msimu wa Mwezi Desemba, 2025 ikiwa ni hatua za kutathmini umahiri uliopatikana katika kipindi husika cha mafunzo katika ngazi ya 1, 2 na 3. Mitihani hiyo ilihusisha jumla ya...
  5. S

    Msaada kuhusu nafasi za kazi Dodoma mjini.

    Angalia kwenye channel @Gordon Murray
  6. S

    Backbone ni kampuni gani

    Hata sijui mkuu, wewe nenda ukifika utajua zaidi. @anthonysilayo
  7. S

    Kwenye tangazo la cocacola paid internship 2026 sijaona deadline na link ya kutuma maombi

    Link ipo mwisho kabisa mwa maelezo @Dotto Nestory
  8. S

    ANY IDEA ABOUT TFS INTERVIEW

    Yakipatikana yatatumwa, Ila unaweza pitia hapa https://wananchiforum.com/threads/maswali-ya-usaili-tfs-2019-2025.1469/ @Regnald1215
  9. S

    Msaada naombeni mnijuze kidogo unapoambiwa utume cover letter kwenye email

    Pitia mwongozo huu hapa https://wananchiforum.com/threads/jinsi-ya-kuandika-cover-letter-2025.1048/ @SHEHOZA
  10. S

    Ofisi za zaman za sekretariet ya ajira zilizopo posta (dar)

    Zipo kivukoni pale. Ukishuka tu kwenye mwendokasi ulizia ofisi za Utumishi. @Mwakalobo
  11. Namba ya huduma kwa wateja NIDA Tanzania

    Namba ya huduma kwa wateja NIDA Tanzania

    Wilayani kwako kuna ofisi zao nenda watakusaidia.
  12. S

    Aircraft Marshaller

    Nikipata nitatuma hapa @Mgendi Ibrahimu
  13. S

    Personal details na vyeti kwenye ajira portal majina yamekosewa spelling kwenye NIDA

    Andika majina full yalivyo kwenye vyeti na kwenye NIDA ili tuone utofauti. @Shaidu
  14. S

    Msaada kwenye kuapply NGOs

    Nahisi ni wewe niliekuelekeza whatsapp na ukafanikisha au sio? Ulikuwa una apply UNESCO! @Riam Shamte
  15. S

    Kutoa cheti cha Degree ajira portal kuweka cheti udereva niombe kazi.

    Huwezi kutoa mkuu ukishaweka taarifa hizo. Labda ungekuwa hujasomea hicho kitu ndio huwa wanakusaidia kuondoa. @David255
  16. Maswali ya Usaili Maafisa Ustawi wasaidizi

    Maswali ya Usaili Maafisa Ustawi wasaidizi 24-03-2026

    Haya hapa Maswali ya Usaili Maafisa Ustawi wasaidizi ya leo. Kama unakumbuka mengine ongezea hapo chini.
  17. S

    Kufuta academic qualification Kwenye Ajira portal

    Huwezi kufuta wewe mwenyewe. Hapo tembelea ofisi zao kwa msaada zaidi. @Finn Rollins
  18. S

    Hello jmn naomba msaada wa maswali ya written na oral ya account officer 2 (Afisa hesabu daraja la 2) please interview tarehe 26 ijumaa

    Ingia hapa https://wananchiforum.com/threads/orodha-ya-magroup-ya-whatsapp-tanzania.3465/ kisha jiunge na wahasibu 2
Back
Top Bottom