Search results
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
-
S
Namna yakujaza program ajira portal
Ingia ajira portal kisha nenda academic qualification kisha institute chagua VETA program search laboratory assistant kama kwenye picha hii @JOHN20 -
S
Msaada utofauti wa majina
Hapo nenda mahakamani kachukue affidavit mkuu. @DMI25 -
Nilifuta CV yangu ya zamani na nimei update mpya Ina inagoma ajira portal
Jaribu mara kwa mara itakubali @Mr.Salum -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-03-2026 AJIRA PORTAL
Kwa niaba ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Watumishi Housing Investments (WHI), Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iringa (IRUWASA), Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 22-03-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 630 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili... -
S
Group la Public administration halipo
Pitia hapa https://wananchiforum.com/threads/maswali-ya-usaili-human-resources-hr-na-administration-2025-26.1450/ @felix9 -
Naomba msaada wa kufafanuliwa hio email nilifanyaga interview TRA mwaka Jana
Mbona ujumbe unaeleweka. -
nilikuwa nauliza naombaje kazi kwenye hii post
Tuma CV yako kwenda Email hiyo hapo @Donis Mkemwa -
S
Maswali ya Economist na notes
Haya hapa https://wananchiforum.com/threads/maswali-ya-usaili-economist-ii.3107/ @kekue -
Maswali ya Usaili Economist II 2026 Interview PDF
Haya hapa maswali ya usaili Economist II yaliyofanyika leo kwenye interview utumishi. Kama una maswali mengine naomba ongezea hapo chini. Download PDF -
S
Group la Public administration halipo
Ingia kwenye HR and Administration @Veemiroyo -
Maswali ya usaili Customer Service Officer II Interview Questions
Haya hapa Maswali ya usaili Customer Service Officer II. kama unayo unayajua ambayo yalisha ulizwa kwenye interview mbalimbali naomba nijibu hapo chini. Pakua PDF hapo chini. -
Maswali ya Usaili Accounting Officer 16-03-2026
Haya hapa Maswali ya Usaili wa Accounting Officer yaliyofanyika katika interview iliyopita kujaza nafasi za kazi zilizotangazwa na Taasisi mbalimbali katika tangazo la ajira mpya hizo. Pakua PDF hapo chini. -
S
Maswali ya interview upande Wa HR OFFICER Na ADMINISTRATIVE
Pitia hii mkuu https://wananchiforum.com/threads/maswali-ya-usaili-human-resources-hr-na-administration-2025-26.1450/ @Ntulimanase -
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU DAR ES SALAAM (DUCE) ULIOFANYIKA TAREHE 11/03/2026 AJIRA PORTAL
Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika chuo shirikishi cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) Uliofanyika tarehe 11/03/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi... -
Maswali ya usaili Receptionist II Interview Questions
Naomba msaada wa Maswali ya usaili Receptionist II. kama unayo unayajua ambayo yalisha ulizwa kwenye interview mbalimbali naomba nijibu hapo chini. -
Maswali ya usaili Office Management Secretary II Interview Questions
Naomba msaada wa Maswali ya usaili Office Management Secretary II. kama unayo unayajua ambayo yalisha ulizwa kwenye interview mbalimbali naomba nijibu hapo chini.