Search results
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
-
Sehemu ya kufanyia usaili kada ya Vocational Tutor II
Habari za asubuhi kiongoz. Samahani! Naomba unisaidie kujua ni wapi VOCATIONAL TUTOR II (COMMUNICATION SKILLS) aliyepo mkoa wa Geita (Current addres) atafanya usaili wa KUANDIKA. NATANGULIZA SHUKRANI 🙏