Benki ya Mwanga Hakika Limited (MHB) ilianzishwa baada ya kuunganishwa kwa mafanikio benki tatu tofauti, ambazo ni EFC Tanzania Microfinance Bank (EFC), Hakika Microfinance Bank (Hakika), na Mwanga Community Bank (MCB).
Baada ya muunganiko huu, shughuli za MHB zimeongezeka kwa kasi, na sasa...