ajira leo

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. G

    Ajira Nafasi za kazi JSI Tanzania Desemba 2024 27-12

    JSI Research & Training Institute, Inc. ni shirika la kimataifa lenye makao yake makuu huko Boston, Massachusetts, Marekani. Shirika hili linafanya kazi kwa karibu na serikali za kitaifa na za mitaa, mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs), sekta binafsi, na viongozi wa jadi ili kuongeza...
  2. G

    Ajira Nafasi za kazi Mbeya Cement Tanzania Disemba 2024 25-12

    Tangazo la Ajira mpya kutoka Mbeya Cement Pakua PDF hapo Juu sehemu iliyo andikwa "Download"
  3. Nafasi za kazi ACB Bank Tanzania December 2024

    Nafasi za kazi ACB Bank Tanzania December 2024

    Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka ACB Bank Tanzania Kwa mwezi December 2024,
  4. Nafasi za kazi Jhpiego Tanzania December 2024

    Nafasi za kazi Jhpiego Tanzania December 2024

    Hizi hapa Nafasi za kazi kutoka Jhpiego Tanzania December 2024 zilizo tangazwa leo hii kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia muda huu. Jhpiego ni shirika lisilo la faida linaloongoza kimataifa katika kubuni na kutoa suluhisho bunifu za huduma za afya kwa nchi...
  5. G

    Ajira Nafasi za Kazi Kutoka Shirika la Aqua-Farms (AFO) Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika 20241109

    Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Shirika la Aqua-Farms (AFO) Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika zilizo tangazwa kwa siku ya leo kwa watanzania wote waweze kutuma maombi kuanzia sasa. Shirika la Aqua-Farms (AFO) ni Shirika lisilo la Kiserikali lililosajiliwa chini ya Sheria ya Mashirika...
  6. G

    Ajira Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya Qhihaya General Enterprises Novemba 2024 | Ajira Mpya 200 Madereva 2024-11-09

    Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya Qhihaya General Enterprises Novemba 2024 | Ajira Mpya 200 za madereva zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye ari na nia ya kutuma maombi kuanzia leo. Qhihaya General Enterprises Limited ni kampuni inayo husika na uzalishaji na usambazaji wa Nguzo za...
  7. G

    Ajira Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea 08 Novemba 2024

    Hizi hapa Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea Maombi yawasilishwe katika ofisi za halmashauri husika kabla ya tarehe 15 Novemba, 2024. Management and Development for Health (MDH) ni shirika lisilo la kiserikali ambalo lengo lakekuu ni kuchangia na kushughulikia...
  8. G

    Ajira Nafasi za Kazi Kutoka TACAIDS Novemba 2024 | Ajira Mpya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania 20241108

    Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka TACAIDS Novemba 2024 | Ajira Mpya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania kutoka Utumishi kutuma maombi kuanzia leo. Kwa niaba ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye ari, uzoefu, na sifa stahiki kuomba...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom