Hizi hapa Nafasi za kazi Taasis ya Uhasibu Arusha (IAA) December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote nia, ari na sifa kulingana na vigezo vilivyowekwa katika tangazo hili hapa chini.
Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA) ni chuo cha umma kinachotoa mafunzo ya shahada ya kwanza na ya uzamili...