Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya uongozi katika baraza la mawaziri, akiwapa nafasi mpya viongozi mbalimbali.
Jerry Silaa ameteuliwa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Dkt. Damas Ndumbaro amepewa nafasi ya Waziri wa Katiba na Sheria.
Mhandisi Hamad...