Klabu ya Al Hilal kutoka Sudan 🇸🇩 inakuwa timu ya kwanza msimu huu kwenye CAFCL kufuzu hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo .
Kwenye michezo minne amekusanya Alama 10 .
Kwasasa ni Yanga wenyewe washinde game zao bila kuangalia matokeo ya MC Alger ….. hii ni baada ya sare ya 1-1 dhidi ya...
Pyramid ya Misri wameshinda Leo Goli mbili Dhidi ya Esperance De Tunis ya Nchini Tunisia, huku Gd Sagrada Esperanca wakipats Ushindi wa Goli Moja Dhidi ya Djoliba Ac De Bamako
Yanga wameshinda Leo na kufufua matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali Africa CAFCL huku wakishika nafasi ya tatu na alama nne Nyuma ya Mc Alger mwenye alama sawa na Yanga akiwa na michezo Mitatu huku Yanga amecheza michezo minne na kinara Wao ni Al HILAL ambae anaongoza kundi hilo Kwa alama...
Yanga walianza mechi vizuri sana : umiliki wa mpira , intensity ya hali ya juu , pressing , walikuwa wanapasiana mpira vizuri sana wakati wanaanza “Build Up” na walitumia sana eneo la katikati kutengeneza nafasi kwasababu Tp Mazembe walikuwa wanazuia wakiwa chini lakini hawakufanya pressing ya...
Rais wa Tp mazembe MOÏSE KATUMBI amewaahidi wachezaji wake dollar 💰$100,000 ambazo ni sawa na Tshs milioni (240,090,900.2695) kwa kila bao litakalofungwa dhidi ya Young AfricansSC leo Jumamosi 04 January 2025.
KIKOSI Cha Young African's vs Tp Mazembe Leo 04 January 2025
Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Ya Mabingwa Africa CAFCL dhidi ya Tp Mazembe.
Mchezo huo utapigwa January 04, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin mkapa Tanzania Mkoani Dar es salaam saa kumi kamili...
Yanga Leo Dimbani kusaka Alama tatu ambazo zitafufua matumaini yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Africa CAFCL, Mchezo utachezwa Benjamin mkapa Tanzania majira ya saa kumi jioni.
Clatous Chama na Attohoula Yao watakosekana kwenye mechi ya keshoCAF CL dhidi ya Tp...
Michuano ya Klabu Bingwa Africa CAFCL inaanza Leo katika Ungwe ya Nne.
Cr Belouizdad vs Al Ahly Sc Leo (Ijumaa) 10:00 PM
Yanga SC vs Tp Mazembe Kesho (Jumamosi) 04: 00 PM
Orlando pirates vs Stade D'Abidjan Kesho (Jumamosi) 07:00 PM
As Far Rabati vs As Maniema Kesho (Jumamosi) 10:00 PM
Raja...
Ni kweli Yanga ni miongoni mwa timu 6 ambazo hazijafanikiwa kupata ushindi wowote kwenye michuano ya CAF Interclub.
Ni kweli Yanga wana alama moja mkiani.
Lakini, Sidhani kama Yanga wakishindwa kufuzu hatua ya robo fainali ikuwa story kubwa sana...Na sioni kama kuna ulazima wa matokeo hayo...
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumsajili kwenye mfumo wa CAF winga wao mpya Ellie Mpanzu na sasa nyota huyo anaruhusiwa kuichezea Simba kwenye mechi za kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup) na ataanza jumapili January 05, dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia mchezo utaochezwa majira ya saa 1:00...
1.YANGA vs TP MAZEMBE 🇨🇩 -JANUARY 4 KWA MKAPA Saa kumi Jioni
2.AL HILAL 🇸🇩 Vs YANGA - JANUARY 12 MAURITANIA 🇲🇷 Saa nne usiku
3.YANGA Vs MC ALGER 🇩🇿 - JANUARY 18 KWA MKAPA saa kumi Jioni
Wananchi taarifa iwafikie kuwa hakuna mchezo wowote wa ligi mpaka michezo yenu yote ya kimataifa...
Wananchi baada ya kushinda michezo minne mfululizo ya ligi kuu sasa wanarejea kwenye michuano ya kimataifa.
Ambapo ratiba inaonyesha kuwa Yanga Jumamosi hii January 4,2025 watawakaribisha TP Mazembe katika Uwanja wa Mkapa,Dar.
Wanachi wenye pointi 1 tu wanasaka ushindi wao wa kwanza kwenye...
Mchezo umetamatika Kwa suruhu ya Goli Moja kwa Moja.
Hamna mbabe Kwa mwenzake, Orlando pirates wanakwenda kushika nafasi ya kwanza na points tano "5" michezo mitatu "3"wakifatiwa na Al Ahly (Misri) mwenye alama nne "4" na michezo miwili "2" huku Stade D'Abidjan akiburuza mkia na alama Moja "1"...