Ebu ongea ungependa kianze nini ikiwa umemaliza Chuo tu. Ni hatua gani itaanza katika safari yako ya maisha baada ya masomo
Nyumba
Gari
Ndoa
Ajira
Kujiajiri
Chagua namba na sema kwa nini.
Hii hapa Orodha ya Vyuo Vikuu Bora Tanzania: Maelezo ya kila Chuo | 10 Bora pamoja na kozi zinazo tolewa, ada, gharama.
1. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM):
Kama chuo kikuu cha kwanza nchini, UDSM kinatoa mazingira ya kujifunza yenye changamoto na yenye utajiri wa kitaaluma. Chuo hiki...