Kikosi chetu cha Simba Sc kinapambana leo na CS Sfaxien – Kombe la Shirikisho Afrika
Leo saa moja usiku, kikosi cha Simba kitashuka dimbani katika Uwanja wa Hammadi Agrebi, Tunis, kupambana na CS Sfaxien katika mchezo wa nne wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Ni mechi ya ugenini...
Mchezo wa CAF Confederation Cup kati ya CS Sfaxien dhidi ya Simba SC utachezwa katika Uwanja wa Olympique Rades unaopatikana Jijini Tunis BADALA YA uwanja wa nyumbani wa CS Sfaxien unaoitwa Taeib Mehir uliopo katika mji wa Sfax kilomita 267 kuelekea Tunis
Sfaxien wanaenda kutumia uwanja wa Rades...