Simba Wabadirishiwa Uwanja CAFCC

Simba Wabadirishiwa Uwanja CAFCC

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Mchezo wa CAF Confederation Cup kati ya CS Sfaxien dhidi ya Simba SC utachezwa katika Uwanja wa Olympique Rades unaopatikana Jijini Tunis BADALA YA uwanja wa nyumbani wa CS Sfaxien unaoitwa Taeib Mehir uliopo katika mji wa Sfax kilomita 267 kuelekea Tunis
FB_IMG_1735838521996.webp

Sfaxien wanaenda kutumia uwanja wa Rades ambao upo katika ardhi yao Tunisia lakini sio uwanja wao wa nyumbani

Taarifa kutoka Tunisia pia zinaeleza Cs Sfaxien wanaendelea na zoezi la kuuza tiketi za mchezo huu japokua CAF WAMEZUIA mashabiki katika mechi zao za nyumbani zilizobaki

Inaelezwa mashabiki wa Sfaxien wananua tiketi ili tu kuisapoti Klabu yao kiuchumi
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom