CS Sfaxien wako nyumbani leo kwenye kampeni yao kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho na wanacheza dimbani kucheza na Simba Sc.
Sfaxien hawajashinda mchezo wowote katika michezo mitatu waliyocheza na wako mkiani wakiwa hawana alama yoyote mpaka sasa huku wakiwa wameruhusu mabao 6...
SIMBA 🇹🇿 wakiwa Ugenini mechi 5 za mwisho CAF
❌ Wydad 1-0 Simba
🤝 Asec 0-0 Simba
❌ Al Ahly 2-0 Simba
🤝 Ahli Tripoli 0-0 Simba
❌ Constatine 2-1 Simba
Leo Vs Cs sfaxien..?
Leo, Mnyama, Simba SC yupo dimba la ugenini nchini Tunisia akiwakabili CS Sfaxien. mechi ya marudiano Kombe la Shirikisho Afrika, Kundi A.
Mtanange huu utapigwa saa 1:00 usiku Leo January 05, 2025.
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba sports club Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezo wa leo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika (𝗧𝗼𝘁𝗮𝗹𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝗶𝗲𝘀𝗖𝗔𝗙𝗖𝗖) dhidi ya CS Sfaxien utakuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani
Kocha Fadlu amesema pamoja na CS Sfaxien kufanya mabadiliko kwenye benchi la...
KIUNGO wa Simba Mzamiru Yassin amesema mechi yao ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC) dhidi ya Sfaxien ya Tunisia haitakuwa nyepesi wanahitaji jitihada, umakini na nguvu kuhakikisha wanapata matokeo.
“Mechi za ugenini huwa ni ngumu haijalishi umecheza na timu gani tunatakiwa tuwe makini, mtu...
Kikosi cha Simba Sports Club kimefanya mazoezi ya kwanza nchini Tunisia tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika 𝗧𝗼𝘁𝗮𝗹𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝗶𝗲𝘀𝗖𝗔𝗙𝗖𝗖 dhidi ya CS Sfaxien🇹🇳 utakaopigwa Jumapili Januari 5.
Mazoezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa nje wa Olympique De R – Tunis ambao...
Mchezo wa CAF Confederation Cup kati ya CS Sfaxien dhidi ya Simba SC utachezwa katika Uwanja wa Olympique Rades unaopatikana Jijini Tunis BADALA YA uwanja wa nyumbani wa CS Sfaxien unaoitwa Taeib Mehir uliopo katika mji wa Sfax kilomita 267 kuelekea Tunis
Sfaxien wanaenda kutumia uwanja wa Rades...