Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka kampuni ya Enterprise Finance Limited (EFL) 2025 lililo tangazwa siku ya jana kwa watanzania wote, Tuma maombi mapema.
Hizi hapa Nafasi za Kazi Shirika la Maternity Africa Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika zilizo tangazwa siku ya leo, unaweza kutuma maombi yako moja kwa moja kupitia barua pepe iliyopo kwenye tangazo.
Maternity Africa ni shirika lisilo la kiserikali linaloendeshwa kwa misingi ya Kikristo...