Aliyekuwa Kocha Mkuu Wa JS Kabylie Abdelhak Benchikha Amejiuzulu katika nafasi yake hiyo ya Ukocha.
Benchikha Anasema
“Nikama nilikuwa naishi Njiani sijawahi kuipata Amani Hata kama tukishinda au Kupoteza sijawahi kuwa na Amani NIMECHOKA.”
Benchikha ameiacha JS Kabylie ikiongoza ligi Kwa...
Simba SC wanajiandaa kwa mechi muhimu ya CAF Confederation Cup dhidi ya CS Constantine ya Algeria, huku macho yote yakiwa kwa kiungo mahiri Brahim Dib. Dib amekuwa moto msimu huu, akifunga mabao matano kwenye mechi 11 za ligi, pamoja na hat-trick ya kuvutia dhidi ya JS Kabylie, na pia kufunga...