- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 194
Aliyekuwa Kocha Mkuu Wa JS Kabylie Abdelhak Benchikha Amejiuzulu katika nafasi yake hiyo ya Ukocha.
Benchikha Anasema
“Nikama nilikuwa naishi Njiani sijawahi kuipata Amani Hata kama tukishinda au Kupoteza sijawahi kuwa na Amani NIMECHOKA.”
Benchikha ameiacha JS Kabylie ikiongoza ligi Kwa Jumla ya Alama 24.
Benchikha Amejiuzulu Mara 3 sasa Mfululizo akiwa kama Kocha USM Alger
Simba Sc
JS Kabylie
.

Last edited: