Benchikha Ajiuzulu Ukocha Js Kabylie

Benchikha Ajiuzulu Ukocha Js Kabylie

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Aliyekuwa Kocha Mkuu Wa JS Kabylie Abdelhak Benchikha Amejiuzulu katika nafasi yake hiyo ya Ukocha.
FB_IMG_1735976968090.webp


Benchikha Anasema

“Nikama nilikuwa naishi Njiani sijawahi kuipata Amani Hata kama tukishinda au Kupoteza sijawahi kuwa na Amani NIMECHOKA.”

Benchikha ameiacha JS Kabylie ikiongoza ligi Kwa Jumla ya Alama 24.

Benchikha Amejiuzulu Mara 3 sasa Mfululizo akiwa kama Kocha USM Alger 🇩🇿 Simba Sc 🇹🇿 JS Kabylie 🇩🇿.
 
Last edited:
Back
Top Bottom