Leo, Mnyama, Simba SC yupo dimba la ugenini nchini Tunisia akiwakabili CS Sfaxien. mechi ya marudiano Kombe la Shirikisho Afrika, Kundi A.
Mtanange huu utapigwa saa 1:00 usiku Leo January 05, 2025.
KIKOSI Cha Simba SC vs Singida Black Stars Leo 28 December 2024
Klabu ya Simba SC itakuwa ugenini kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars FC.
Mchezo huo utapigwa December 28, 2024 kwenye Uwanja wa Liti Mkoani Singida.
Kuelekea mchezo huo, Wananchiforum...
Mechi inayosubiriwa kwa hamu kati ya Simba SC ya Tanzania na CS Sfaxien ya Tunisia kwenye Kombe la Shirikisho la CAF ni zaidi ya pambano la pointi tatu. Huu ni mchezo wa heshima, historia, na nafasi ya kuonyesha ubabe kwenye soka la Afrika. Mashabiki wa soka barani Afrika wanatarajia burudani ya...