Hizi hapa Nafasi za Ufadhili wa Masomo Kozi za Mafunzo KOICA 2025 Nchini Korea Kusini kupitia Utumishi, wametangaza fursa hii kwa watanzania wote wenye sifa kuanzia leo.
Mwongozo wa KOICA Scholarship
Pitia haya makala ili uweze kutuma maombi yako katika programu mbalimbali zilizo tangazwa...
Programu ya Scholarship ya KOICA (SP) imeundwa kwa lengo la kuwanoa viongozi muhimu katika nchi washirika ili kuchangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika nchi zao.
KOICA inatoa programu 15 za shahada ya uzamili katika awamu hii ya maombi. Kabla ya kutuma maombi, tafadhali rejea taarifa za...