Programu ya Scholarship ya KOICA (SP) imeundwa kwa lengo la kuwanoa viongozi muhimu katika nchi washirika ili kuchangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika nchi zao.
KOICA inatoa programu 15 za shahada ya uzamili katika awamu hii ya maombi. Kabla ya kutuma maombi, tafadhali rejea taarifa za kila chuo (Program Information - PI) kwa umakini.
Pakua PDF hapa. kama una swali jisajili kisha uliza litajibiwa.