Jinsi ya kutuma maombi Mafunzo ya KOICA Nafasi za Utumishi
TANGAZO LA KOZI ZA MAFUNZO CHINI YA KOREA INTERNATIONAL COOPERATION AGENCY (KOICA) KWA MWAKA 2025-2026 NCHINI KOREA KUSINI (MASTERS DEGREE)
Taarifa za maombi na nyaraka nyingine muhimu zinapatikana kupitia kiungo:
Bonyeza hapa kutuma...
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa maafisa waliokidhi vigezo kutoka Utumishi wa Umma ili kujiunga na kozi za muda mrefu nchini Korea Kusini.
Fursa za mafunzo zilizopo kwa sasa ni kama ifuatavyo kwenye PDF hapo chini:-