Afisa Mwandidikishaji wa Jimbo la Hai anapenda kuwapongeza na kuwajulisha rasmi kwamba mmepata uteuzi kushiriki katika zoezi muhimu la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Uteuzi huu unahusisha nafasi zifuatazo:
Waendeshaji wa Mashine za Bayometriki (BVR Kit Operators)
Waandishi...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Semina Ajira za INEC 2024. Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Moshi Vijijini na Jimbo la Vunjo anawatangazia wale wote waliofaulu usaili wa waandikishaji wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki (BVR) kama walivyotangaziwa kwenye tangazo la...