Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Semina Ajira za INEC 2024

Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Semina Ajira za INEC 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,180
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Semina Ajira za INEC 2024. Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Moshi Vijijini na Jimbo la Vunjo anawatangazia wale wote waliofaulu usaili wa waandikishaji wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki (BVR) kama walivyotangaziwa kwenye tangazo la orodha ya waliofaulu usaili la tarehe 25/11/2024 kuwa semina kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa ngazi ya kata itafanyika kwa siku mbili tarehe 8 – 9 Desemba, 2024 katika kumbi za Shule ya Sekondari Weruweru na Chuo cha Ualimu Marangu kuanzia saa 1:00 asubuhi ukiwa na kitambulisho kinachokutambulisha.
Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Semina Ajira za INEC 2024

Rejea jedwali lifuatalo kwa ufanunuzi wa kumbi za semina.
INEC waita watu kwenye Semina
 

Attachments

Back
Top Bottom