Mbinga Farmers’ Cooperative Union (MBIFACU) LTD ilianzishwa chini ya Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 6 ya mwaka 2013 kama Muungano wa Ushirika unaowahudumia na kuwa wakala wa Vyama 114 vya Ushirika wa Masoko ya Kilimo (AMCOS) katika Kanda ya Kusini mwa Tanzania. Muungano huu unafanya kazi...