Nafasi za kazi 36 Management and Development for Health (MDH) ni shirika lisilo la kiserikali na lisilo la kifaida, linalolenga kusaidia kukabiliana na changamoto za afya ya umma kwa Watanzania na dunia kwa ujumla. Vipaumbele vya shirika hili ni pamoja na magonjwa ya kuambukiza kama vile UKIMWI...
Hizi hapa Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea Maombi yawasilishwe katika ofisi za halmashauri husika kabla ya tarehe 15 Novemba, 2024.
Management and Development for Health (MDH) ni shirika lisilo la kiserikali ambalo lengo lakekuu ni kuchangia na kushughulikia...