Wasailiwa wa nafasi mbalimbali katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) mnajulishwa kuwa, usaili wa vitendo na mahojiano wa tarehe 5 na 6 Disemba, 2024 utafanyika katika ukumbi wa MOI Phase III uliopo jengo jipya la MOI. Aidha, muda wa kufanya usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la kuitwa...