Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 11 Wilaya ya Mpwapwa December 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa anawatangazia Wananchi wote Raia wa Tanzania wenye sifa zinazohitajika kuomba kujaza nafasi wazi baada ya kupokea vibali vyaa ajira Mpya chenye Kumb Na. FA. 97/228/01/09...
Hii hapa Orodha ya ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya Mpwapwa Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024 PDF ipo juu.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali...