Nafasi za kazi 11 Wilaya ya Mpwapwa December 2024

Nafasi za kazi 11 Wilaya ya Mpwapwa December 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,279
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 11 Wilaya ya Mpwapwa December 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa anawatangazia Wananchi wote Raia wa Tanzania wenye sifa zinazohitajika kuomba kujaza nafasi wazi baada ya kupokea vibali vyaa ajira Mpya chenye Kumb Na. FA. 97/228/01/09 cha tarehe 22 Juni, 2024 na chenye Kumb. Na. FA.170/360/01A/144 cha tarehe 22 Oktoba, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Ajira zilizo tangazwa​

Pakua PDF chini hapo.
Nafasi za kazi 11 Wilaya ya Mpwapwa December 2024
 

Download PDF

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom