Mtaala mpya ulioboreshwa wa Elimu ya Msingi Darasa I – VI umeandaliwa kwa kuzingatia Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023, maoni ya wadau yaliyokusanywa na kuchakatwa kati ya mwaka 2021 na 2022 na matokeo ya uchambuzi wa maandiko kuhusu uzoefu kutoka nchi nyingine. Mtaala...