Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini TORITA, TARURA, CMA, AICC, TALIRI, TRC, MUCE, TCRA, TEMESA, TMA Desemba 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-04-2024 na tarehe...
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa | Kuitwa Kazini Ajira Portal, Utumishi | Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) leo tarehe 12 Novemba 2024.
Naibu Rasi - Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili...