S

Kuitwa Kazini Ajira Portal, Utumishi | Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE)

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 46%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
393
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa | Kuitwa Kazini Ajira Portal, Utumishi | Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) leo tarehe 12 Novemba 2024.

Naibu Rasi - Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 17 Oktoba, 2024 kuwa matokeo ya wasailiwa waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kuanzia tarehe 18 Novemba, 2024 hadi 01 Desemba, 2024 kwa kufika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE).

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti katika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kuanzia saa mbili asubuhi kwa tarehe tajwa wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili zihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.
 

Download PDF

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom