Kocha mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema hadi sasa hesabu za timu hiyo kutinga Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika zipo sawa baada ya kuifumua TP Mazembe kwa mabao 3-1 na kudai kipigo hicho ni kidogo kuliko nafasi walizotengeneza.
Ramovic, aliyepata ushindi wa kwanza CAF akiwa kocha wa...
Ushindi wa Simba dhidi ya Cs Sfaxien unawapeleka kileleni mwa msimamo wa kundi A wakiwa na alama 9 na kuzima ile kauli ya Simba huwa haijawahi kushinda nyumbani kwa mwarabu.
Ni mechi ambayo ilihitaji wachezaji wanaokimbia sana kiwanjani , kulikuwa na matumizi ya mipira mingi mirefu , power play...
KIKOSI Cha Simba Sports Club Dhidi Ya Cs Sfaxien Leo January 05, 2025 TotallyEnergyCAFCC
Klabu ya Simba itakuwa ugenini Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Ya Shirikisho Africa CAFCC dhidi ya Cs Sfaxien ya Tunisia.
Mchezo huo utapigwa Leo January 05, 2025 kwenye Uwanja wa stade Rades Tunis...
Rais wa heshima na Mwenyekiti wa bodi ya wakurungezi wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji 'Mo' amewasilisha ofa ya dola 300,000 (Zaidi ya milioni 730 za Kitanzania) Pamoja na Aishi Manula kwa maboss wa klabu ya Azam kwa ajili ya kumhitaji kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Feisal Salum 'Fei Toto'.
1.YANGA vs TP MAZEMBE 🇨🇩 -JANUARY 4 KWA MKAPA Saa kumi Jioni
2.AL HILAL 🇸🇩 Vs YANGA - JANUARY 12 MAURITANIA 🇲🇷 Saa nne usiku
3.YANGA Vs MC ALGER 🇩🇿 - JANUARY 18 KWA MKAPA saa kumi Jioni
Wananchi taarifa iwafikie kuwa hakuna mchezo wowote wa ligi mpaka michezo yenu yote ya kimataifa...
Ratiba Ya Mapinduzi Cup 2025 Kuanza Januari 3.
Michuano ya Mapinduzi 2025 kuanza kuchezwa Ijumaa hii katika dimba la Gombani Kisiwani Pemba.
Hii hapa ratiba ya Mapinduzi cup Zanzibar 2025.
Pacôme Zouzoua amehusika moja kwa moja katika mabao sita kwenye mechi zake tano za mwisho katika NBC Premier League.
Vs. Namungo - ⚽
Vs. Mashujaa - 🅰️
Vs. Tanzania Prisons - 🅰️
Vs. Dodoma Jiji - 🅰️
Vs. Fountain Gate - ⚽⚽
Ndiye mchezaji wa tatu wa Young Africans kufunga mabao 5+ katika NBC...
Wananchi baada ya kushinda michezo minne mfululizo ya ligi kuu sasa wanarejea kwenye michuano ya kimataifa.
Ambapo ratiba inaonyesha kuwa Yanga Jumamosi hii January 4,2025 watawakaribisha TP Mazembe katika Uwanja wa Mkapa,Dar.
Wanachi wenye pointi 1 tu wanasaka ushindi wao wa kwanza kwenye...
Yanga walianza na mikakati sahihi , wakiwa na mpira 2-3-4-1 (Joba na Bacca wanakuwa nyuma then Aucho mbele yao “Pembe tatu shape” huku Kibwana na Boka wanakuwa mstari mmoja then Muda anasogea juu sawa na Aziz Ki , Pacome na Mzize …. Baada ya hapo matokeo yake yalikuwa ni nini ?
Yanga walifanya...
Beki wa Klabu ya Simba sports club, Valentine Nouma hapo juzi aliaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu akiwa kwao Nchini Burkina Faso.
Nouma alipata nafasi ya kusafiri kutoka Tanzania mpaka nchini Kwa Bukina Faso huku akiwa amepata baraka zote kutoka Kwa coach wake Fadlu...
KIKOSI Cha Young African's vs Singida Fountain Gate Leo 29 December 2024
Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate .
Mchezo huo utapigwa December 29, 2024 kwenye Uwanja wa KMC Complex Mkoani Dar es salaam.
Kuelekea mchezo...
Mechi za Leo Jumapili 29 December 2024
Tanzania – Premier League
16:00 Coastal Union vs Kinondoni MC
16:00 Young Africans vs Fountain Gate FC
Tanzania – NBC Championship
16:00 Kiluvya FC vs African Sports
England – Premier League
17:30 Leicester City vs Manchester City
18:00 Crystal Palace vs...
Yusuph Kagoma ni miongoni mwa viungo wachache wazawa wanaofanya vizuri sana kwenye Ligi kuu Tanzania Bara hasa kwenye hizi klabu kubwa.
Kagoma amekuwa nguzo kubwa na imara kwa klabu ya Simba jambo ambalo linampa urahisi zaidi kocha Fadlu wa kumtafuta pacha atakayecheza nae.
Kumuweka benchi...
Mechi ya leo kwa Simba ni moja kati ya mechi ngumu sana msimu huu,wanakutana na timu bora sana kiwanjan
Nje ya uwanja wapinzani wanaamini kwa trend ya matokeo ya Simba hivi karibuni hii mechi wanakwenda kupoteza!
Changamoto kwa Nswanzurimo ni game approach kwenye huu mchezo, akipokea maelekezo...