Enza Zaden Africa Ltd ni kampuni ya kilimo cha mboga mboga inayozalisha mbegu bora za kisasa (hybrid). Mbegu zote zinazozalishwa husafirishwa kwenda kampuni mama iliyo nchini Uholanzi, ambako hupitia ukaguzi wa ubora wa hali ya juu kabla ya kusambazwa tena duniani kote chini ya nembo ya Enza...