Enza Zaden Africa Ltd ni kampuni ya kilimo cha mboga mboga inayozalisha mbegu bora za kisasa (hybrid). Mbegu zote zinazozalishwa husafirishwa kwenda kampuni mama iliyo nchini Uholanzi, ambako hupitia ukaguzi wa ubora wa hali ya juu kabla ya kusambazwa tena duniani kote chini ya nembo ya Enza Zaden.
Fursa ya Kazi:
Nafasi: Msaidizi wa Meneja wa Uendeshaji – Mfumo wa Takwimu za Uzalishaji na Utunzaji wa Mazao
Ripoti Kwa: Meneja wa Uendeshaji
Aina ya Nafasi: Nafasi ya Kudumu
Mahali: Arusha, Tanzania
Lengo Kuu la Nafasi: Kutoa ripoti za ukaguzi wa mazao na takwimu nyingine muhimu kwa menejimenti kwa kutumia mifumo iliyopo ya data za uzalishaji.

Download PDF