Hizi hapa Nafasi 400 za Mkataba Wizara ya Afya | Ajira Mpya Kada za Afya Desemba 2024. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania...