Nafasi 400 za Mkataba Wizara ya Afya | Ajira Mpya Kada za Afya Desemba 2024

Nafasi 400 za Mkataba Wizara ya Afya | Ajira Mpya Kada za Afya Desemba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,279
Hizi hapa Nafasi 400 za Mkataba Wizara ya Afya | Ajira Mpya Kada za Afya Desemba 2024. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za 400 za Mkataba kwa Kada za Afya watakaofanya kazi katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini.

Hivyo, wahitimu kutoka kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu na Vyuo vya Afya vinavyotambuliwa na Serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kuanzia tarehe 6 - 20, Desemba, 2024. Nafasi za ajira zilizopo ni kwa wahitimu wa Astashahada (Certificate), Stashahada (Diploma) na Shahada (Degree)

Ajira zilizo tangazwa​

Hizi hapa jumla ya nafasi za ajira zilizo tangazwa kwa watanzania wote kuanzia leo;
Nafasi 400 za Mkataba Wizara ya Afya | Ajira Mpya Kada za Afya Desemba 2024

 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom