Nafasi za kazi Madereva December 2024, Mhusika atasaidia kazi za mji na shughuli za nje, huku akizingatia kikamilifu mwongozo wa usalama barabarani wa Tanzania na sera na kanuni za CIHEB Tanzania zinazohusu matumizi ya magari.
Hizi hapa Nafasi za kazi Wakala wa Vipimo (WMA) December 2024 | Ajira Mpya 20 ni Wakala wa Serikali wenye jukumu la kuhakikisha uwiano wa haki katika miamala ya kibiashara kupitia udhibiti wa Kisheria wa Vipimo. Wakala huu ulianzishwa mwaka 2002 chini ya Sheria ya Mashirika ya Serikali...
NAFASI YA KAZI: MADEREVA ( 10 )
KAMPUNI: MAFUTA NA GESI
HR World Ltd Kwa niaba ya mteja wetu, tuna tafuta madereva wa Malori (Gari kubwa) na magari aina ya Tipper.
MAHITAJI;
• Barua ya Maombi ya kazi na CV
• Leseni ya Udereva daraja E
• Barua ya kusitisha au kumaliza mkataba na...