G

Nafasi 10 za Madereva kutoka Kampuni ya Mafuta na Gesi

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,160
NAFASI YA KAZI: MADEREVA ( 10 )
KAMPUNI: MAFUTA NA GESI
HR World Ltd Kwa niaba ya mteja wetu, tuna tafuta madereva wa Malori (Gari kubwa) na magari aina ya Tipper.

MAHITAJI;
• Barua ya Maombi ya kazi na CV
• Leseni ya Udereva daraja E
• Barua ya kusitisha au kumaliza mkataba na mwajiri/mwajiri wa zamani pamoja na Certificate of Service.
• Cheti cha mafunzo ya Gari kubwa VETA au NIT
• Umri kuanzia 30 mpaka 48
• Kopi ya TIN namba yako.
• Kopi ya kitambulisho cha NIDA au namba yako ya NIDA.
• Kopi ya alama za vidole (fingerprints) ya hivi karibuni
• Pasipoti size picha ndogo ziwe 4
• Picha kubwa yako (picha nzima)
• Uzoefu usiopungua miaka 3

Wasilisha viambatanishi tajwa hapo juu katika ofisi yetu iliyopo Derm Plaza, ghorofa ya 7 Makumbusho- Dar es Salaam kabla ya tarehe 30 mwezi Novemba 2024

Kwa maelezo zaidi piga namba hii: 0743 564 568
 
Back
Top Bottom