Nafasi 105 za Kazi Kutoka Ajira Portal na Utumishi Novemba 2024 | NBS, DIT, IAA

Nafasi 105 za Kazi Kutoka Ajira Portal na Utumishi Novemba 2024 | NBS, DIT, IAA 08 Novemba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,320
Gift submitted a new resource:

Nafasi 105 za Kazi Kutoka Ajira Portal na Utumishi Novemba 2024 | NBS, DIT, IAA - TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-11-2024 NBS, DIT, IAA PDF leo.

Kwa niaba ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS), Taasisi ya Uhasibu Arusha, Wizara ya Maji, na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye sifa zinazofaa, walio na uzoefu, ari na mwamko kujaza nafasi za kazi mia moja na tano (105) zilizotajwa kwenye PDF hapo juu.

Kwa maelezo zaidi kuhusu nafasi zilizo tangazwa tafadhali tembelea tovuti ya Ajira Portal.
[ATTACH type="full"...

Read more about this resource...
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom