Programu ya Scholarship ya KOICA (SP) imeundwa kwa lengo la kuwanoa viongozi muhimu katika nchi washirika ili kuchangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika nchi zao.
KOICA inatoa programu 15 za shahada ya uzamili katika awamu hii ya maombi. Kabla ya kutuma maombi, tafadhali rejea taarifa za...
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa maafisa waliokidhi vigezo kutoka Utumishi wa Umma ili kujiunga na kozi za muda mrefu nchini Korea Kusini.
Fursa za mafunzo zilizopo kwa sasa ni kama ifuatavyo kwenye PDF hapo chini:-