Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Ajira Mpya NBAA December 2024, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa, uzoefu, na bidii kushiriki kujaza nafasi mbili za kazi: Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama na...