Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Ajira Mpya NBAA December 2024, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa, uzoefu, na bidii kushiriki kujaza nafasi mbili za kazi: Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kisheria.
Tangu kuanzishwa kwake, NBAA imechangia kwa kiasi kikubwa katika kuendeleza taaluma ya uhasibu nchini Tanzania, hasa kwenye masuala ya kukuza taaluma, usajili wa wahasibu, kuweka viwango vya kitaaluma, usimamizi wa sheria, na mitihani. NBAA inalenga kuchangia utawala bora kwa kukuza taaluma ya uhasibu ili kuboresha taarifa za kifedha nchini Tanzania.
Ajira mpya NBAA
NBAA ni taasisi huru inayosimamia taaluma ya uhasibu na ukaguzi wa hesabu, iliyoundwa chini ya Sheria ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (Registration Act), Sura ya 286, na inafanya kazi chini ya Wizara inayohusika na masuala ya Fedha. Bodi hii ilianzishwa mwaka 1972 na kuanza rasmi shughuli zake tarehe 15 Januari 1973.Tangu kuanzishwa kwake, NBAA imechangia kwa kiasi kikubwa katika kuendeleza taaluma ya uhasibu nchini Tanzania, hasa kwenye masuala ya kukuza taaluma, usajili wa wahasibu, kuweka viwango vya kitaaluma, usimamizi wa sheria, na mitihani. NBAA inalenga kuchangia utawala bora kwa kukuza taaluma ya uhasibu ili kuboresha taarifa za kifedha nchini Tanzania.
Nafasi za kazi NBAA
Pakua PDF hapa chini kama utakuwa na swali uliza.Attachments
Last edited: