Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Jimbo la Mufindi December 2024

Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Jimbo la Mufindi December 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,320
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Ofisi ya Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Mufindi Kaskazini katika Jimbo la Mufindi Kusini inapenda kuwataarifu waombaji wote waliopendekezwa kwa nafasi za kazi za Waandishi Wasadizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki. Usaili wa nafasi hizo utafanyika siku ya Jumanne, tarehe 10/12/2024, kuanzia saa 3:00 asubuhi katika vituo vifuatavyo:

Usaili INEC Jimbo la Mufindi​

  1. Tarafa ya Ifwagi - Ukumbi wa Bomani, Mafinga.
  2. Tarafa ya Sadani - Shule ya Sekondari Sadani.
  3. Tarafa ya Malangali - Shule ya Sekondari Mbalamaziwa.
  4. Tarafa ya Kibengu - Shule ya Msingi Usokami.
  5. Tarafa ya Kasanga - Shule ya Msingi Igowole.
Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Jimbo la Mufindi December 2024

Tafadhali zingatia yafuatayo:
  1. Hakikisha unafika kwa muda na mahali palipotajwa kwa ajili ya usaili.
  2. Orodha ya waombaji waliopendekezwa kwa kila Tarafa imeambatanishwa na barua hii.
Pakua PDF hapa chini.
 

Download PDF

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom