Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 9 Desemba 2024, orodha kamili ya majina yapo chini hapa. Pia unaweza kuona katika akaunti yako ya Ajira portal.
Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT
ARTISAN...
Wananchi, Haya hapa Matokeo ya Usaili wa kuandika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) December 2024 yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na...
Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi wa Kuandika UDSM, NIT, TMA, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 7 Desemba 2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kuendelea na usaili na waliofaulu yapo chini hapa.
Angalizo: Wasailiwa wote waliochaguliwa...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Water Institute - WI anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba...
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) ULIOFANYIKA TAREHE 04/12/2024
Mwongozo:
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili., Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)...
Wasailiwa wa kada zote zilizopangiwa kufanya usaili wa mahojiano tarehe 7 Disemba 2024 katika chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe ya kufanya usaili huo. Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 6 Disemba 2024 badala ya tarehe iliyotangazwa awali. Aidha...
PSRS: Leo tarehe 25/10/2024 wametangaza nafasi za kazi katika ajira mpya Kwa niaba ya Taasisi ya Taifa ya Usafirishaji (NIT) na Wakala wa Ndege za Serikali ya Tanzania (TGFA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye sifa, ujuzi, na uzoefu wa kutosha kujitokeza...