Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi anatarajia kutangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Raja Casablanca ya Morocco kuchukua nafasi ya kocha Ricardo Sa Pinto aliyefutwa kazi wiki iliyopita.
Kocha wa AS Maniema, Papy Kimoto, amesema timu yake iko tayari kwa mechi dhidi ya Raja Casablanca. Ameeleza kuwa joto kali la Kinshasa linaweza kuwa faida kwa timu yake, kwani wapinzani wao hawajazoea hali hiyo. Licha ya kutambua uwezo wa Raja, Kimoto ana uhakika kwamba Maniema imejipanga vyema...