Revoo Member Reputation: 22% Joined Dec 12, 2024 Messages 194 Dec 29, 2024 #1 Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi anatarajia kutangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Raja Casablanca ya Morocco kuchukua nafasi ya kocha Ricardo Sa Pinto aliyefutwa kazi wiki iliyopita. Kwa Kagoma Simba sports club Wamepata Mtu Mousa PinPin Camara Goalkeeper Wa Simba sports club
Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi anatarajia kutangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Raja Casablanca ya Morocco kuchukua nafasi ya kocha Ricardo Sa Pinto aliyefutwa kazi wiki iliyopita. Kwa Kagoma Simba sports club Wamepata Mtu Mousa PinPin Camara Goalkeeper Wa Simba sports club