Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21 Aprili 2024 na tarehe 18 Novemba 2024 kuwa matokeo ya...