Jean Charles Ahoua kwenye kombe la shirikisho Afrika, amehusika kwenye magoli manne (04) hadi hivi sasa.
Ametoa pasi za magoli (02) huku akifunga magoli mawili hadi hivi sasa 🔥 kwenye eneo la takwimu jamaa ni hatari sana 🙌
Remember the name : Jean Charles Ahoua ✅
𝐌𝐂𝐇𝐄𝐙𝐎 𝐍𝐈 𝐌𝐀𝐏𝐔𝐌𝐙𝐈𝐊𝐎
Well done Lunyasi dakika 45 bora mmecheza 👏 mikakati sahihi timu ikiwa na mipira (pasi sahihi za mbele na uharaka kwenye matukio muhimu ✅)
Goli limehusisha pasi tatu tu!.. hawa Cs Sfaxien ni kama wamepoteana hivi hasa wakifika kwenye nusu ya Simba wanakuwa na idadi ndogo...
KIKOSI Cha Simba Sports Club Dhidi Ya Cs Sfaxien Leo January 05, 2025 TotallyEnergyCAFCC
Klabu ya Simba itakuwa ugenini Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Ya Shirikisho Africa CAFCC dhidi ya Cs Sfaxien ya Tunisia.
Mchezo huo utapigwa Leo January 05, 2025 kwenye Uwanja wa stade Rades Tunis...
SIMBA 🇹🇿 wakiwa Ugenini mechi 5 za mwisho CAF
❌ Wydad 1-0 Simba
🤝 Asec 0-0 Simba
❌ Al Ahly 2-0 Simba
🤝 Ahli Tripoli 0-0 Simba
❌ Constatine 2-1 Simba
Leo Vs Cs sfaxien..?
Januari 3 2025 CEO wa Simba SC wakati huo, Madam Babra Gonzalez alimuajiri Ahmed Ally kama Meneja wa habari na mawasiliano wa Klabu
Leo ni miaka mitatu Ahmed Ally amekua kipenzi cha Wanachama na mashabiki wa Simba Sports Club
Hongera Babra kwa zawadi hii Kwa wanalunyasi Simba sports club.
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumsajili kwenye mfumo wa CAF winga wao mpya Ellie Mpanzu na sasa nyota huyo anaruhusiwa kuichezea Simba kwenye mechi za kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup) na ataanza jumapili January 05, dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia mchezo utaochezwa majira ya saa 1:00...
Kikosi cha Simba sports club kinaondoka leo saa tano asubuhi kuelekea Bukoba, Kagera kwa ajili ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar, utakaopigwa jumamosi ya Desemba 2, 2024.
Baada ya mechi jana wachezaji waliruhusiwa kurudi nyumbani kwao kwaajili ya mapumziko na Sasa wamewasili kambini tayari Kwa...
Mchezo namba 125 wa ligi kuu ya NBC kati ya Tabora United dhidi ya Simba SC uliokuwa uchezwe December 28 umeondolewa kwenye ratiba na utapangiwa tarehe nyingine sababu kubwa ya mchezo huo kuondolewa kwenye ratiba Simba kuanza mzunguko wa pili huku ikiwa na mchezo wa raundi ya kwanza haujachezwa...