Performance bora kutoka kwa kipa Wa JKT,Yakoub Suleiman🙌
Kipindi cha kwanza amefanya saves Za kutosha ila ile ya kichwa cha Ateba inaweza kuwa Save bora ya mwaka.
Jamaa yuko active Muda wote,anasoma vizuri movement Za Wachezaji Wa Simba kabla hawajapiga.
Simba iliwabidi kutumia njia mbadala...
Simba walimaliza game kipindi cha kwanza , walikuwa bora kwenye kila eneo (Wakiwa na mpira na wasipokuwa na mpira ….. Nafikiri ni wao tu kuwa na utulivu eneo la mwisho walitengeneza nafasi nyingi sana .
Kipindi cha pili , Fadlu Davids aliamua kuifunga game (Fabrice & Mzamiru Out then Kagoma na...
Simba wameifunga Ken Gold katika Ligi kuu ya Nbc Tanzania Magoli mawili "2" Kwa sufuri, Magoli yote yakifunga na Mchezaji Wao hatari Leonel Ateba katika dakika ya 41 na 44 kipindi Cha Kwanza.
Simba Sasa anafikisha alama 31 katika michezo 12 ya Ligi kuu Nbc Tanzania.
Mfungaji Leonel Ateba nae...