Kwenye Kundi hili kila timu 3 za juu zote zinamtazama Cs Sfaxien kama ngazi...atakaedondosha alama kwa Sfaxien anaweza kubaki.
Simba amefanikiwa kuchukua alama zote 6 kwa Sfaxien, Constantine alishachukua 3 ugenini na Bravos alichukua 3 nyumbani.
Kwa nature ya kundi hili sitoshangaa Simba...
Fadlu amegeuka mwiba mkali kwa wapinzani.
Simba ya Fadlu imeruhusu goli chache (5) kwenye mechi 15 za NBC.
Simba imeruhusu goli chache (3) kwenye kundi (A) CAF.
Simba ni vinara wa kundi (A) CAF.
Simba ni vinara NBC.
Fadlu na Simba yake wanaongoza kila kona…..Fadlu amegeuka shubiri kwa wapinzani