simba yetu

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Cs Sfaxien Ni Ngazi Kwenye Kundi La Simba, Kundi A TotalEnergiesCAFCC 2024/2025

    Cs Sfaxien Ni Ngazi Kwenye Kundi La Simba, Kundi A TotalEnergiesCAFCC 2024/2025

    Kwenye Kundi hili kila timu 3 za juu zote zinamtazama Cs Sfaxien kama ngazi...atakaedondosha alama kwa Sfaxien anaweza kubaki. Simba amefanikiwa kuchukua alama zote 6 kwa Sfaxien, Constantine alishachukua 3 ugenini na Bravos alichukua 3 nyumbani. Kwa nature ya kundi hili sitoshangaa Simba...
  2. Kocha Mkuu Wa Simba Sports Club Ageuka Mwiba Kwa Wapinzani

    Kocha Mkuu Wa Simba Sports Club Ageuka Mwiba Kwa Wapinzani

    Fadlu amegeuka mwiba mkali kwa wapinzani. Simba ya Fadlu imeruhusu goli chache (5) kwenye mechi 15 za NBC. Simba imeruhusu goli chache (3) kwenye kundi (A) CAF. Simba ni vinara wa kundi (A) CAF. Simba ni vinara NBC. Fadlu na Simba yake wanaongoza kila kona…..Fadlu amegeuka shubiri kwa wapinzani
  3. Mapumziko: Kagera Sugar 0 vs 2 Simba sc

    Mapumziko: Kagera Sugar 0 vs 2 Simba sc

    🚨𝐌𝐀𝐏𝐔𝐌𝐙𝐈𝐊𝐎 #NBCPremierLeague🏆 Kagera Sugar 0-2 Simba SC ⚽Kapombe (Zimbwe Jr🅰️) ⚽Ahoua
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom